First food

libre


non disponible



First food ni app ambayo itakuwezesha kuagiza chakula kwenye migahawa, hotel na sehemu nyinginezo kwa urahisi. ikikupa uwezo wa kufuatilia order yako na pia kuona pindi itakapo kuwa tayari.